Tafadhali Dkt Mollel (Naibu waziri Afya) tunaomba ufafanuzi wa mabadiliko ya Bima ya Afya

Tafadhali Dkt Mollel (Naibu waziri Afya) tunaomba ufafanuzi wa mabadiliko ya Bima ya Afya

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Naamini umeona taarifa mbalimbali mitandaoni kuhusu kubadilika utaratibu wa Bima za Taifa za Afya.

Tunaomba ufafanuzi wa Wizara tafadhali kwa sababu mjadala unaoendelea mitandaoni hauna afya kwa Taifa.

Nawasilisha.
 
Una afya mkuu hii serikali wewe simnufaika mkubwa katika awamu hii
 
Back
Top Bottom