J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Aug 3, 2022 #1 Naamini umeona taarifa mbalimbali mitandaoni kuhusu kubadilika utaratibu wa Bima za Taifa za Afya. Tunaomba ufafanuzi wa Wizara tafadhali kwa sababu mjadala unaoendelea mitandaoni hauna afya kwa Taifa. Nawasilisha.
Naamini umeona taarifa mbalimbali mitandaoni kuhusu kubadilika utaratibu wa Bima za Taifa za Afya. Tunaomba ufafanuzi wa Wizara tafadhali kwa sababu mjadala unaoendelea mitandaoni hauna afya kwa Taifa. Nawasilisha.
RWANDES JF-Expert Member Joined Jun 12, 2019 Posts 1,788 Reaction score 4,401 Aug 3, 2022 #2 Una afya mkuu hii serikali wewe simnufaika mkubwa katika awamu hii
keivanti Member Joined Jul 29, 2022 Posts 92 Reaction score 97 Aug 3, 2022 #3 Huyu wa tamisemi hajibu Chochote kuhusu kero
Lambardi Platinum Member Joined Feb 7, 2008 Posts 18,813 Reaction score 21,830 Aug 3, 2022 #4 Hamisha magoli ??