MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Wenzenu walikuwa Wanaoka ( Wanakoka ) Moto Bondeni kwa Madiba mkazusha walikuwa Wanaroga sasa mbona nyie tokea jana kama kawaida yenu mnahaha Mahospitalini Dar es Salaam nzima kufanya mpango wa Kuiba Maiti ( kama ilivyo desturi yenu mkicheza na Wanaojua Mpira na wanaotambulika na CAF hadi FIFA ) na mkafukie Uwanjani.
Wenye Maiti za Ndugu zenu Mahospitalini ( hasa Mkoani Dar es Salaam ) kuweni makini nazo mzilinde na zisitolewe 'Kiholela' bila ya nyie kujua.
Si mnasema Hamrogi? Mbona hamlali?
Wenye Maiti za Ndugu zenu Mahospitalini ( hasa Mkoani Dar es Salaam ) kuweni makini nazo mzilinde na zisitolewe 'Kiholela' bila ya nyie kujua.
Si mnasema Hamrogi? Mbona hamlali?