Tafadhali isomwe na wanaume tu - inawahusu zaidi

webondo

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2012
Posts
1,713
Reaction score
383
Ndugu zangu hapa jamvini naamini mko wazima kabisa! Kuna tabia ya kina dada ambayo inanichosha mno ya INVOICE. Nadhani kwa vijana wengi wa mjini hiyo term "INVOICE" imekuwa maarufu sana. Ukimtokea binti pengine siku hiyo hiyo unaombwa laki, mara nitumie vocha yaani ni kero tupu.

Nanyi ndugu zangu hapa jamvini yanawakuta hayo? Maana mabinti wamekuwa wasaka hela kwa style hiyo. Manake Binti kwa siku moja huenda anakusanya hela kwa watu hata wanne.
 
Basi bila sababu? Hiyo sababu inaweza kukimbiwa basi.
 
sasa wewe unatatizo gani kama unapata utamu? kila mtu na kiwango chake kaa wewe huwezi hao wa laki basi achia wanaoweza. la msingi ni kwamba atoe mzigo basi!!
 
hao ni used man dnt get alone wth them..kwa mwanamke wa kuish nae atakua na aibu y omb omb
 
sasa kama ana shida amuombe nani?
Siyo sahihi kuomba omba hatua za mwanzoni vinginevyo atachukuliwa kama changudoa vile vile wanaume wasipende kuomba ngono haraka haraka unakuta demu unamtokea leo na kesho unaomba ku do kwa nini asikupige mzinga maana wengi wakisha timiza haja zao wanaishia mitini.
 
ukikataa kutoa hawezi kukulazimisha, so chagua moja: uwe kimwaga upate mzigo au uwe bahili uendelee na shemeji 'revola'
 
Siyo sahihi kuomba omba hatua za mwanzoni vinginevyo atachukuliwa kama changudoa vile vile wanaume wasipende kuomba ngono haraka haraka unakuta demu unamtokea leo na kesho unaomba ku do kwa nini asikupige mzinga maana wengi wakisha timiza haja zao wanaishia mitini.

Na hvo ndo ukwel wa mambo ulvo at,il ata km mzgo ukiliwa nae atakua ameshapata kfta jasho heheheiyaa
 
Mi nilijua kuna isha ya msingi UNAAMBIWA LAKI SI PESA MILION KIDOGO KAMA VP WAACHIE WAHESHIMIWA WA DOM MKUU
 
Ndugu zangu hapa jamvini naamini mko wazima kabisa! Kuna tabia ya kina dada ambayo inanichosha mno ya INVOICE. Nadhani kwa vijana wengi wa mjini hiyo term "INVOICE" imekuwa maarufu sana. Ukimtokea binti pengine siku hiyo hiyo unaombwa laki, mara nitumie vocha yaani ni kero tupu.

Nanyi ndugu zangu hapa jamvini yanawakuta hayo? Maana mabinti wamekuwa wasaka hela kwa style hiyo. Manake Binti kwa siku moja huenda anakusanya hela kwa watu hata wanne.

Njoo kwangu mie sitakuomba(tatizo si kuombwa) ila kama hutakua na utashi wa kunipa mwenyewe lazima nikuache mataaa aseee
 
Back
Top Bottom