Kuhonga ni nature ya mwanaume si ujinga.
Siyo sahihi kuomba omba hatua za mwanzoni vinginevyo atachukuliwa kama changudoa vile vile wanaume wasipende kuomba ngono haraka haraka unakuta demu unamtokea leo na kesho unaomba ku do kwa nini asikupige mzinga maana wengi wakisha timiza haja zao wanaishia mitini.sasa kama ana shida amuombe nani?
Kuhonga ni nature ya mwanaume si ujinga.
Kuhonga ni nature ya mwanaume si ujinga.
Siyo sahihi kuomba omba hatua za mwanzoni vinginevyo atachukuliwa kama changudoa vile vile wanaume wasipende kuomba ngono haraka haraka unakuta demu unamtokea leo na kesho unaomba ku do kwa nini asikupige mzinga maana wengi wakisha timiza haja zao wanaishia mitini.
sasa kama ana shida amuombe nani?
Ndugu zangu hapa jamvini naamini mko wazima kabisa! Kuna tabia ya kina dada ambayo inanichosha mno ya INVOICE. Nadhani kwa vijana wengi wa mjini hiyo term "INVOICE" imekuwa maarufu sana. Ukimtokea binti pengine siku hiyo hiyo unaombwa laki, mara nitumie vocha yaani ni kero tupu.
Nanyi ndugu zangu hapa jamvini yanawakuta hayo? Maana mabinti wamekuwa wasaka hela kwa style hiyo. Manake Binti kwa siku moja huenda anakusanya hela kwa watu hata wanne.