Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wangekuwa wanafuata ushauri wako wangefanikiwa sanaweka picha yako tafadhali.. wadada wengi hawapendi mbuzi kwenye ggunia
tatizo hawataki..wangekuwa wanafuata ushauri wako wangefanikiwa sana

weka picha yako tafadhali.. wadada wengi hawapendi mbuzi kwenye ggunia
Acha ujuha,unapendelea rafikia yako awe na kazi gani kwa mapendekezo yako?

Acha ujuha,

utaacha ufundi cherahani kama akikuambia anapenda trafiki?

unapendelea rafikia yako awe na kazi gani kwa mapendekezo yako?

aseme na kazi yake. Wadada Tunaogopa kuchunwa

dada,

tutafahamiana na kujua mengi.
mimi ni mgen katika safu hii.
natafuta rafiki wa kike anayeweza kuwa mke hasaaa, kuanzia miaka 18-24. asiwe mnene wala si membamba, na sio mrefu na si mfupi.nina urefu wa 182cm.