Tafadhali Joketi Njoo kwangu, Mimi ndio nakufaa

Pagan Amum

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2015
Posts
1,932
Reaction score
4,403
Nimekuwa naumizwa sana na hali ya mrembo Joketi kukosa mwanaume wa maana. Ambaye wataweza kujenga naye future na sio kuchezewa kama hawa wakina Ali Kiba ambao hawana future...... Kwa ujumbe huu, tafadhali Joketi njoo kwangu. Wewe ni mrembo sana tena sana. Njoo kwangu...

Kwa sasa Mimi ni mwanafunzi wa Phd (Mlimani). Nimepanga nyumba Bahari Beach.... Nafanya biashara zangu katika mikoa kadhaa ila Makao Makuu yangu yapo Dar... Nina umri wa miaka 29...

Naamini kwa sifa hizo na kwa jinsi ninavyokupenda we can make good couple. Na nazidi kuamini hizo ni sifa za ziada. Tafadhali njoo kwangu achana na hawa vijana wasio na malengo ya years to come!
 
Reactions: MC7
Joketi hafuati mwanaume kisa ana PhD au ana nyumba huko beach na biashara zake.

Joketi ana mambo yake ya msingi anayopenda kwa mwanaume ambayo hujayataja ktk sifa zako ulizo mention hapo juu..tafakari.
 
Kidoti anapatikana sana maeneo ya insta mkuu ndio maeneo yake ya kujidai kule adi no ipo hivyo ni vyema ukamtimbia kulekule
 
Hawa watoto hawaangalii vyeti blaza........watakuumiza.....hata ungekuwa rocket scientist .....kama hana mzuka na type yako humpati...ushauri ww muibukie kisela unaweza ukamega
 
Haya sasa utawasikia oooh walau awe na degree kumbe waongo tu ukiwa famous na ela hakuna cha degree...
Mkuu diamond na alikiba wanakupita wamemkula jokate na masters yake wakati wao hata form six hawakukanyaga...
Life is full of suprises
 
Utamhakikishia vipi, kwenye media hachuji....?
 
Reactions: MC7
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…