Mtandaoni
Senior Member
- Jul 22, 2013
- 132
- 64
Polen na majukumu ya kila siku, kiukweli wpendwa kuna kitu kinanisumbua kwenye mwili wangu mpka sasa cjapata jibu kamili ila kwa sababu humu kuna madoctor naomba mnisaidie kisha nichukue hatua, Napata maumivu makali sana mpk dk hizi upande ulipo moyo chini kidogo na cjajua nini tatizo hivyo naombeni kama kuna mwenye kufaham inatokana na nn tafadhal tuambiane, wenu kwa kupokea maoni ya busara.