MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Serikali ya CCM haiwezi kumaliza hizo kero, wakati wa kampeni hao jamaa wa simu hugeuka wafadhili wao.
wengine citizen hatuna weka kwa kifupi hapa
Hii ni dalili mbaya kwa rais wetu, maneno yake kwenye majukwaa hayaheshimiki na yeye hachukui hatua. Angeanza kumfuta kazi waziri mengine yangeenda vizuriKila kukicha tu 'Maajabu' mengi yanagundulika nchini Tanzania na huenda nchi yetu ikawa imebarikiwa Kimaajabu hadi Raia wake ni wa ajabu.
Tanzania ndiyo nchi pekee duniani ambayo Makampuni ya Simu yanaweza Kupandisha bei za 'Vifurushi' haraka, ila katika Kuvishusha wanachelewa.
TCRA hongereni pia kwa Kuyaogopa ( Kuufyata ) mbele ya Makampuni ya Simu nchini Tanzania na hasa hasa hawa Wababe wenu Vodacom.
aliekua anawapangia mabeberu leo hii wanamuita "mwendazake" hakika tutamkumbuka.Ndio unapaswa kuelewa mabeberu hayapangiwi chochote na serikali yakiamua jambo lao
akishindwa kulimaliza hili, amekwisha!.. atakua anaimba taarabu tu, na watakua wakimpuuziaHii ni dalili mbaya kwa rais wetu, maneno yake kwenye majukwaa hayaheshimiki na yeye hachukui hatua. Angeanza kumfuta kazi waziri mengine yangeenda vizuri
Hii ni dalili mbaya kwa rais wetu, maneno yake kwenye majukwaa hayaheshimiki na yeye hachukui hatua. Angeanza kumfuta kazi waziri mengine yangeenda vizuri
Kila kukicha tu 'Maajabu' mengi yanagundulika nchini Tanzania na huenda nchi yetu ikawa imebarikiwa Kimaajabu hadi Raia wake ni wa ajabu.
Tanzania ndiyo nchi pekee duniani ambayo Makampuni ya Simu yanaweza Kupandisha bei za 'Vifurushi' haraka, ila katika Kuvishusha wanachelewa.
TCRA hongereni pia kwa Kuyaogopa ( Kuufyata ) mbele ya Makampuni ya Simu nchini Tanzania na hasa hasa hawa Wababe wenu Vodacom.
Piga picha utuwekee hapa tusome.
Kuna Usamaki Mwingi Kwenye Hili
Haya makampuni ya simu mkumbuke yaliipigiaga kampen ccm mwaka jana!
Usipende kuleta habari nusu nusu ili na wewe uonekane umeleta habari humu, huku sio facebook unakoweza kujiandikia uharo wako ukaleta humu qenge wewe.Simu yako haina Camera ili nawe upige?
"…… ...hata nyani kule shambani, wakienda kufukuzwa na Mwanamke, hawakimbii. Lakini akienda mtoto wa kiume hata wa miaka kumi tu, hao nyani watatoka mbio! Kwa hiyo hakuna kulinganisha Mwanaume na Mwanamke…. " Mchungaji Dodi, alipokuwa anatoa mafundisho yake Radioni.Nami naliona hili Rais anapuuzwa sana.
Hata mimi mtu ambaye alileta haya ni waziri angeanza naye huyo. Ila ukweli ni kwamba toka uwepo wa TCRA ndipo vifurushi vilipanda maana kabla ya hapo vifurushi vilikuwa bei chee.Hii ni dalili mbaya kwa rais wetu, maneno yake kwenye majukwaa hayaheshimiki na yeye hachukui hatua. Angeanza kumfuta kazi waziri mengine yangeenda vizuri