Ofisi zetu Tanzania zipo kariakoo mtaa wa Ndanda na Muhonda
WhatsApp/Call +255 697 692 507
Rate yetu Kwa normal goods (mizigo isiyo na sumaku battery au majimaji ) ni USD 11.5 Kwa kilogram
Ni siku nyingine mpya GT wa jamii forums na mapambano bado yanaendelea.
Kwa wiki hii ratiba yetu Kwa ina flights mbili, tafadhali boss wangu mpatie supplier wako address yetu na mzigo utakufikia 20hrs -28hrs tangu utakapotoka China
Habari boss , kampuni ya PM TRADING AND LOGISTICS LTD inapenda kukutaarifu kuwa tunaendelea na zoezi la ukusanyaji wa mizigo katika Warehouse zetu za China🇨🇳 kwa njia ya ndege (Express)🛫.
Wiki hii ndege🛫 itaondoka China 🇨🇳kuja Tanzania 🇹🇿 jumanne tarehe 16/07/2024.
Tafadhali mpatie supplier wako address yetu
Ofisi zetu zipo Kariakoo makutano ya mtaa wa Ndanda na Muhonda.
Rate yetu ni USD 11.5 Kwa kilogram.
Calls/WhatsApp +255 697 692 507.
Tafadhali mpatie supplier wako address yetu
OUR CHINA ADDRESS
广州市越秀区环市西路202号之三第十一层1148铺(美博体育用品市场)-Patrick 19584669781
vikampuni vidogo vya usafirishaji kutoka china kwa ndege ni shida kama una haraka sana mzigo itakula kwako...yamenikuta Hadi nikablock kabisa number zao ...Mmoja anajitapa sana instagram kuwa mzigo ni fasta siku Moja ..kimbembe chake nilichezea wiki mbili story kibao..nyingine ipo hapo mwenge hata sitaki isikia..Hawa ndio wasanii sijapata ona..kwanza china address zao wachina mara number hazipatikani story kibao Hadi wiki tatu...FANYA UPEMBUZI YAKINIFU kama huna haraka na mzigo wengi nilichogundua wababaishaji wanachokisema sio wanaokiishi....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.