Tafadhali msaada kutoka kwa wenye ufahamu

Brian Spilner

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
1,915
Reaction score
5,750
Mtanisamehe kama imewahi ulizwa humu, me sikuiona, mtu kaniuliza na me cna jibu.

Mtu wenye jicho moja anaeleza kuwa hajalala kwakusema "Niko macho" au niko "Niko jicho?"
 
Mtanisamehe kama imewahi ulizwa humu, me sikuiona, mtu kaniuliza na me cna jibu.

Mtu wenye jicho moja anaeleza kuwa hajalala kwakusema "Niko macho" au niko "Niko jicho?"

Umeambiwa Makao Makuu ya BAKITA yapo hapa JamiiForums? Acha ' Kutuchosha ' tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…