hamisi nondo
Senior Member
- Aug 21, 2011
- 192
- 172
Jamani naomba mnisaidie kitu,, mm nimemaliza kidato cha nne nikapata na cheti changu nikiwa ktk dini ya kikristo,, kwahiyo hata cheti changu kina jina la kikristo,,, kwa sasa nimesilimu na nimejiendeleza kielimu ila vyeti vyang vya mambo niliyosomea vina jina langu jipya la kiislamu tofaut na jina lililopo ktk chet cha 4m 4 je,, kuna utaratibu gani wa sheria naotakiwa kutuumia kwenye kuomba kazi,,,