Tafadhali Mzize asianzishwe kesho mechi na Kagera Sugar

Tafadhali Mzize asianzishwe kesho mechi na Kagera Sugar

M.Rutabo

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2015
Posts
1,031
Reaction score
2,647
Speed ya Mzize ni habari nyingine uwanja wakaitaba vipimo vyake ni vidogo mno kesho mzize tafadhali hasianzishwe tusije kumkuta nje ya uwanja.
 
Speed ya mzize ni habari nyingine uwanja wakaitaba vipimo vyake ni vidogo mno kesho mzize tafadhali hasianzishwe tusije kumkuta nje ya uwanja.
Haanzishwe tu hata kama hutaki! Yaani Mzize Hasianzishwe kwa sababu tu ya uwanja!!
 
Wakuu tujifunze namna ya kuandika na kuitukuza lugha hii adhimu ya kiswahili.

Na kama tunafanya makusudi basi tujitafakari kwani hakuna sababu ya kupindisha au kuharibu lugha yetu inayosambaa kwa kasi Duniani
 
Speed ya mzize ni habari nyingine uwanja wakaitaba vipimo vyake ni vidogo mno kesho mzize tafadhali hasianzishwe tusije kumkuta nje ya uwanja.
Mmeaminishwa Mpira ni kitu Cha maana Sana!!wenzenu wanasonga mbele !! Mmeacha kuhoji vitu vya maana mnajifanya mnapenda Sana futibol??? Xnxvhdhdhdb nyie
 
Back
Top Bottom