A Amri kuu ni Upendo JF-Expert Member Joined Oct 18, 2012 Posts 789 Reaction score 489 Dec 6, 2020 #1 Habari wadau! Tafadhali nahitaji kufundishwa namna ya ku operate 3D VACUUM SUBLIMATION MACHINE pamoja na mambo yote ya msingi yanayotakikana katika ujasiriamali huu! Tafadhali mjuzi wa mambo hizi aliyepo hapa Dar anicheki PM kwa mawasiliano.Asante
Habari wadau! Tafadhali nahitaji kufundishwa namna ya ku operate 3D VACUUM SUBLIMATION MACHINE pamoja na mambo yote ya msingi yanayotakikana katika ujasiriamali huu! Tafadhali mjuzi wa mambo hizi aliyepo hapa Dar anicheki PM kwa mawasiliano.Asante
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Dec 6, 2020 #2 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: mahondaw