Kwanza napenda kuwashukuru wanaJF kwa jinsi mnavyosaidia kuijenga jamii yetu...mimi ni mwanaume nimekuwa nikisumbuliwa tatizo la kuwahi kumaliza kila ninapofanya mapenzi na GF wangu tatizo linanikera sana naomba mnisaidie jinsi gani ya kulitatua na pia kuna wakati japo sio mara kwa mara uume huwa hausimami na kuwa firm kabisa unakua ka unalegea ivi nisaidieni jinsi ya kutatua hilo pia...
Kuhusu kuwahi kumaliza,nakushauri do mazoezi ila usizidishe. Hilo la uume kutokuwa firm ngoja tusubiri wachangiaji wengine.
Nitumie namba yako kwa pm ili nikupigie nikupe maelezo jinsi ya kupambana na tatizo yako
hapana sio GF wa kwanza nlishakuwa nao wengine hapo nyuma....afu tatizo la kuwahi sio kwake 2 lina mda kiasi...Psychological problem and most likely anxiety ndio maana uume hausimami kisawasawa. Hii inawezekana na uhusiano wako na huyo GF ndio unaokupa wasiwasi. Je ni GF wako wa kwanza ktk maisha yako? Haya matatizo ni kwa huyu tu? She might be a control freak ndio maana una anxiety. Tusubiri wengine watasema nini
Nitumie namba yako kwa pm ili nikupigie nikupe maelezo jinsi ya kupambana na tatizo yako
Useful tactics lolpga mazoezi na ondoa wasiwasi
halafu wakat una do bana pumzi hivi..
control kupumua...
bana mdomo...
usipumue ovyo...
pga mazoezi na ondoa wasiwasi
halafu wakat una do bana pumzi hivi..
control kupumua...
bana mdomo...
usipumue ovyo...
Mkuu akibana mdomo mbona ndiyo so zaidi. Ningemshauri Kupunguza papala anapokuwa na mwenzi wake, amwandae iwezekanavyo ili ampunguzie adha mwenziwake ya kutofika kilele mapema. Ukibana mdomo inamaana unabana misuri ambayo ndiyo mbaya. Anatakiwa viungo vyake vi-relax ili achelewe kukawia. Asipumlie puani bali aachie mdomo uwe wazi mwili ndo una-relax na mishipa kutobana sana na hivyo misuri ya uumeni nayo ina-relax. Jaribu kuepuka style ambazo zinakufanya ujibane sane/kuwa tight kupunguza speed ya kumaliza.
Zaidi afanye mazoezi ya misuri (kegel exercises) ili kuiimalisha na kufanya achelewe kumaliza.