Tafadhali naomba msaada wa kisheria,

MASEETO

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2013
Posts
261
Reaction score
86
Kwa wanasheria waliobobea na wanasheria wanafunzi naomba msaada wa namna ninavyoweza kupata historia ya sheria ya ushahidi kwa nchi za Africa mashariki hasa kwa nchi za Tanzania, kenya na uganda.

Ninajua wapo watu watakao anza kubeza, lakini kiukweli ni mekwama.
kama kuna mtu anajua kitabu online au namana yyt nitakayoweza ku access
Please

NB: KAma hujua nakushauri ukae kimya nisingependa matusi wala dhihaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…