Tafadhali naomba msaada wakuu

Tafadhali naomba msaada wakuu

MAN OF CHANGES

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2011
Posts
507
Reaction score
191
Hbr yenu wana Jf,
Naomba mtu mwenye taarifa za chuo cha Serikali cha Bandari anipatie tafadhali;
1. Je kipo Dar tu au ?
2. Addimision zake zinafanyikaje na ni lini?
3. ada yake ipoje?
4. Kozi nzuri kwa certificate ni ipi na Qualification zake
ASANTENI WAKUU
 
Back
Top Bottom