Hbr yenu wana Jf,
Naomba mtu mwenye taarifa za chuo cha Serikali cha Bandari anipatie tafadhali;
1. Je kipo Dar tu au ?
2. Addimision zake zinafanyikaje na ni lini?
3. ada yake ipoje?
4. Kozi nzuri kwa certificate ni ipi na Qualification zake.
ASANTENI WAKUU