M MINOCYCLINE JF-Expert Member Joined Apr 2, 2015 Posts 8,018 Reaction score 16,802 Jan 24, 2021 #1 Sababu kubwa ni kwamba nimeanza Kuwaonea tu Wivu wanaozivalia na kunawia kutokea nchi za Zimbabwe, South Afrika, Kenya na Rwanda pia.
Sababu kubwa ni kwamba nimeanza Kuwaonea tu Wivu wanaozivalia na kunawia kutokea nchi za Zimbabwe, South Afrika, Kenya na Rwanda pia.
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,855 Reaction score 189,385 Jan 24, 2021 #2 Usisahau kuleta mrejesho mkuu!
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 57,761 Reaction score 216,011 Jan 24, 2021 #3 Hii pneumonia hii, rafiki yangu aliajiriwa kama yaya. Sasa amepoteza kibarua wazazi wa watoto anaowalea wanafanyia kazi nyumbani.
Hii pneumonia hii, rafiki yangu aliajiriwa kama yaya. Sasa amepoteza kibarua wazazi wa watoto anaowalea wanafanyia kazi nyumbani.
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 29,028 Reaction score 69,666 Jan 25, 2021 #4 Utatuchelewesha mkuu