Trinity
JF-Expert Member
- Jul 20, 2017
- 1,828
- 3,508
Natumai mpo salama ma bibi na ma bwana.!
Kichwa cha uzi cha husika, nilikuwa na wazo la hii biashauri miaka 3 iliyopita lakini sikulifanyia kazi nalo likafa kwenye akili yangu. Juzi nikiwa mkoa wa Moro nimeona jamaa wanaifanya hii biashara na wanapiga pesa ni hatari. Inaonekana jina lao limeenea mkoa mzima kwa sababu kila nilipoeleza shida yangu wenyeji wakasema nenda Manzese shida yako itaisha fasta, na kweli baada ya kufika pale nikatatua tatizo langu.
In fact biashara yenyewe ni kununua na kuuza vitu used mfano vitanda, majiko, meza, vyombo vya ndani n.k Kuna mdau aliniagiza nipitie Moro nikambebe vitu vyake baada ya kumaliza chuo lkn kuna baadhi ya vitu akasema niviuze ndipo nilipojua kwamba my idea was real but kuna situations zilinikatisha tamaa baada ya kushirikisha wadau wawili au watatu hivi.
Naomba muongozo wa hii biashara hasa namna ya kudeal na vitu vya wizi ili ikiwezekana nianzishe kwenye mkoa wangu nilipo maana hakuna hii biashara lkn hi najua watu wengi wana vitu huwa wanahitaji kuviuza aidha wamemaliza masoma, ukosefu wa pesa lkn pia wengine wafanyakaz wamepata uhamisho kikazi.
Nawezaje kuifanya hii biashara kwa usalama?