Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umetoa/Umekikuta wapi!?Habari wana jamvi,
Tafadhali naombeni msaada wa kutambua kitu hiki na matumizi yake. Ukikishika kipo kama sponji.
Asanteni
View attachment 753909View attachment 753910View attachment 753911
Umetoa/Umekikuta wapi!?
Tuanzie hapo kwanza
Kisaidizi! Ndo kinachotuweka town
Cha kwanza kinaitwa beautyblender..maalum kwa kupakia foundation au hata powderHabari wana jamvi,
Tafadhali naombeni msaada wa kutambua kitu hiki na matumizi yake. Ukikishika kipo kama sponji.
Asanteni
View attachment 753909View attachment 753910View attachment 753911
Cha kwanza kinaitwa beautyblender..maalum kwa kupakia foundation au hata powder
Both!Kisaidizi cha nin? Kuongeza hips au matako?
Mkuu umenichekesha mno kama nakuona unavofanya research kabla ya kumueka mtu kitimoto
[emoji23] [emoji23] mwenye nacho yuko wapi?
Kwani shida ipo wapi!!? Kwan dhambi kuvaa hicho???? Mbona kawaida sana? Au ulijua uchawi nn
Utapata tabu sana bas! PoleeeeeNo mimi sitaki mtu ajifek fek
Utapata tabu sana bas! Poleeeee
Anajua kama umepekua pochi yake? Kesi hiyoNimekuta kwenye mkoba wa mwanamke
Jaman hicho ni kwa ajili ya kupakia foundation vipo design na size tofauti..usimhisi vibaya anapenda urembo tu