Tafadhali nielekeze sehemu ambay naweza uza gari yangu kwa haraka

Tafadhali nielekeze sehemu ambay naweza uza gari yangu kwa haraka

TAI DUME

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
9,748
Reaction score
26,238
Wakuu hongereni kwa mihangaiko ya kila siku. nina gari yangu toyota allex nataka niuze lakini sielewi wapi naweza iuza kwa haraka.
Mwaka: 2004
CC: 1500
Imesajiliwa dar dec 2013
Km: 79000 tu
Gari inatembea na iko katika hali nzuri
Bei: milion kumi na moja.
Kwa maelezo piga 0782 239892 au 0657 326169, gari iko dar
Tafadhali kama unafahamu sehemu inakouzka au unahitaji tuwasiliane.
 
Gari nzuri inauzika mkuu, kuna wakati viwanja vya sigara chang'ombe walikuwa wanafanya mnada wa magari jumapili sijui kama bado upo. Kama uko dar jaribu kufuatilia.
 
Gari nzuri inauzika mkuu, kuna wakati viwanja vya sigara chang'ombe walikuwa wanafanya mnada wa magari jumapili sijui kama bado upo. Kama uko dar jaribu kufuatilia.

poa poa nashukuru kwa hizo info
 
Back
Top Bottom