Mkuuu fuata barabara ya kwenda Airport ukifika Jet(Bam walipoanzia kuzungusha mabati ya ujenzi wa terminal 3)kuna barabara ya lami inaingia kushoto, fuata hiyo lami hadi utakapo kuta kituo cha mafta mkono wa kushoti, ukikimaliza tu ingia kushoto tena, nenda moja kwe moja kama mita 200 hivi utaiona Montfort kulia kwako