Tafadhali ningependa kujua bei za vijora kwa jumla Kariakoo vinauzwaje?

Tafadhali ningependa kujua bei za vijora kwa jumla Kariakoo vinauzwaje?

Emoji06

Member
Joined
Jan 23, 2019
Posts
57
Reaction score
56
Habari wana JF. Hongereni kwa mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhani.

Tafadhali ningependa kujua bei za vijora kwa jumla Kariakoo vinauzwaje? Hizi ni gauni za kina dada wengi hupenda kuvaa nyumbani au shughulini. Zimekuwa mbadala wa khanga.

Asante.

1622634033309.png

 
12000 na mtandio wengine 11500 na bila mtandio tunanunua 6000.
 
Back
Top Bottom