E Emoji06 Member Joined Jan 23, 2019 Posts 57 Reaction score 56 May 4, 2021 #1 Habari wana JF. Hongereni kwa mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhani. Tafadhali ningependa kujua bei za vijora kwa jumla Kariakoo vinauzwaje? Hizi ni gauni za kina dada wengi hupenda kuvaa nyumbani au shughulini. Zimekuwa mbadala wa khanga. Asante.
Habari wana JF. Hongereni kwa mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhani. Tafadhali ningependa kujua bei za vijora kwa jumla Kariakoo vinauzwaje? Hizi ni gauni za kina dada wengi hupenda kuvaa nyumbani au shughulini. Zimekuwa mbadala wa khanga. Asante.
mandingo 94 JF-Expert Member Joined Apr 9, 2018 Posts 269 Reaction score 194 May 20, 2021 #2 Vijora 12000 hadi 13000 na mtandio wake
B Baby27 Member Joined May 18, 2021 Posts 19 Reaction score 56 May 21, 2021 #3 12000 na mtandio wengine 11500 na bila mtandio tunanunua 6000.
J jackie8 Member Joined Sep 22, 2021 Posts 37 Reaction score 77 Feb 9, 2022 #4 Baby27 said: 12000 na mtandio wengine 11500 na bila mtandio tunanunua 6000. Click to expand... Unaeza kunielekeza chimbo unazonunuliaga kwa iyo bei
Baby27 said: 12000 na mtandio wengine 11500 na bila mtandio tunanunua 6000. Click to expand... Unaeza kunielekeza chimbo unazonunuliaga kwa iyo bei
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Feb 10, 2022 #5 Natumae mleta mada ulipata muongozo...