Habari, poleni na majukumu ya siku nzima. Inawezekana ukawa suluhisho la tatizo langu la kupata mkopo. Maisha yamenipiga sana baada ya kuachishwa kazi na sasa ninakusudia kuanzisha biashara ili niweze kuanza kwa upya. Tafadhali nisaidie ni wapi ninaweza kupata mkopo wa haraka kwa masharti nafuu. Nilitegemea NSSF initoe lakini ni majanga, kila siku napigwa kalenda. Ahsante.