Nashukuru sana kwa ushauri wako mzuri lakini sina jinsi. Ni bahati mbaya sana sikujijengea utaratibu wa kusave nilipokuwa nikipata pesa na sasa during rainy season I have nothing! Unadhani naweza kupata mtaji kwa njia tofauti na mkopo?Biashara za kuanza ukiwa umepanic hivi na maisha jitahidi sana mtaji usiwe wa mkopo.....
Nilitegemea sana NSSF ingenisaidia lakini sasa nimegundua I was so wrong! Sielewi kuna shida gani pale NSSF!!Nashukuru sana kwa ushauri wako mzuri lakini sina jinsi. Ni bahati mbaya sana sikujijengea utaratibu wa kusave nilipokuwa nikipata pesa na sasa during rainy season I have nothing! Unadhani naweza kupata mtaji kwa njia tofauti na mkopo?