Tafadhali nisaidie njia kupata value ya 'y'

Highlander

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2012
Posts
3,093
Reaction score
1,075

Hii ni kwa ajili ya Sangarara na magenius wengine wa Math.

Tafadhli naomba njia kupata value ya 'Y"
 
as soon as ukinipa value ya Y hapa ntakupa jibu. X+Y+Z=5!! Hiyo ni too general kiongoz, hiyo U could be any function of X and Y and lead to zero. So its difficult if not impossible to get a value of Y from what you have written
 
Hii nilisha wahi isovugi zamani,,lakini mpaka leo sijawahi kui-apply katika maisha ya kawaida ya kutafuta hela.

aaah??! kaka. si chemsha bongo tu kusaidiana...?. Em nambie sasa unaanza kufactor nini hapo.

as soon as ukinipa value ya Y hapa ntakupa jibu. X+Y+Z=5!! Hiyo ni too general kiongoz, hiyo U could be any function of X and Y and lead to zero. So its difficult if not impossible to get a value of Y from what you have written

Ina u-general gani hiyo Mkuu, wakati kuna mtu kapata Zero. How do you arrive at that zero. lazima kuna njia tu....
 
Hapo ni partial derivative of values (X, Y) of function Z.

So function Z =fx can be anything... Unachoweza fanya ni kutafuta guess work on the function then integrate it. Then you have Z =C.
 
Hii ni kwa ajili ya Sangarara na magenius wengine wa Math.

Tafadhli naomba njia kupata value ya 'Y"
'Y' hapo haina Value yeyote we jaribu kutumia akili bana kama 'Y' imechanganywa na 'X' na dx kama mbili hivi lakini thamani yake ni=0, je ikiwa 'Y' peke yake si ndiyo balaa zaidi?
 
Hapo ni partial derivative of values (X, Y) of function Z.

So function Z =fx can be anything... Unachoweza fanya ni kutafuta guess work on the function then integrate it. Then you have Z =C.

Mh...Ok. Let me think about this one...
 
Hutaitumia kuchukulia hela kwenye ATM.

Hamna mkuu...swala tano hatufanyagi izo. Differencial na linear equations zinanizingua kinoma nilizani ningeweza pata msaada jf. Kusap aibu mkuu...
 
There is nothing to do there na huwezi kupewa swali km hilo maana halina maana yoyote, labda km kulikuwa na other derivatives ambazo ziliambatanishwa na hiyo equation
yaani hapo ni sana na kusema x + y=2 alafu umwambie mtu akusaidie kupata value ya y
 
Samahani Mkuu. Kwa maelezo haya unataka kuniambia katika equation hii

Basi variable hii hapa haina maana. Au?
 
Wanafunzi siku hizi munakuja kutafutia majibu ya homework hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…