Tafadhali Partners wanaitajika ..

Mwamsiku

Member
Joined
Feb 9, 2017
Posts
66
Reaction score
14
Wakuu kama kichwa kinavyo jieleza ,Mimi Kijana mwenye umri wa miaka 24 nilie maliza Chuo nikichukua kada ya engineering

Lengo.

Ni kwamba nimekua Na idea nying za kibiashara naweza list some of them ambazo ziko priority kwan nimefanyia research..

1.making whiteboard
Kwa wasiojua hii ni aina ya ubao ambazo zimekua zikitumika Kwa katika institution za kielimu.

2.utengenezaji wa detergent

3.utengenezaji wa sofa za kisasa
Na nyingine nying na ni wazi kwamba zote hapo juu Nina maandiko yake special so please kwayoyote atakaye kua tayari asa Kwa upande wa kufinance I'll be happy Na tunahaid kuonyesha ushirikiano wa dhati.

Ikumbukwe kwamba nina watu kama wawili ambao pia nimekua nikiwatrain Na mmoja kati yao ni mtu wa marketing ..
Note itakua Vzr zaid Kwa wa kazi wa dar hope itapendeza ..
Nakalibisha Kwa maoni na michango chanya..
 
Kwa atakaye kuwa tayari naomba ni pm
 
Mwekezaji akitoa pesa atafaidikaje? Kiasi gani kinahitajika faida ikoje na je wewe utachangia kiasi gani? Kwanini usikope kama shida ni finance tu
 
Mwekezaji akitoa pesa atafaidikaje? Kiasi gani kinahitajika faida ikoje na je wewe utachangia kiasi gani? Kwanini usikope kama shida ni finance tu
Mwekezaji atafaidika moja Kwa moja kupitia faida ambayo itakua ikipatikana kwan yeye ndie atakae chukua asilimia kubwa ya profit ..ikumbukwe kwamba kiwango cha asilimia yake itakua calculated tukiwa pamoja kwaiyo ni jamboa la kukaa meza moja nakumaliza.

Sasa upande wa kiasi kinacho itajika kinategemea ni aina hip ya project tunayotarajia kuanza nayo..

Kiasi tulicho nacho upande wetu lazima tuwe wawazi nikwamba atuna kiasi chochote bt vile tulivo navyo ndivyo vitatransiform na kufikia mahali tunaenda ..

Kukopa ni wazo zuri but naweza sema kwanamna moja ama ingine sifa atuna kwan zinaitajika dhamana za aina tofaut ambazo kwetu ni kikwazo mkuu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…