Yes!She is my friend!Lakini unavyodai aachie ngazi is not that simple,bora ingekua walipokua na wiki na hakukua na kitu chochote kilicho take place!Fikiria ndoa ni few days ahead!

mkuu unajua hapa ni mahali pa heshima sana,usifikiri kwa sababu hujulikani unaleta kila upuuzi hapa,jaribu kufikiria kabda hujainamisha kichwa chako kutuma post hapa,sio fresh na sijapenda hii
sio kweli hawezi kuacha,mi namfahamu msichana mmoja mwenyeji wa Tanga ambaye alikuwa 'addicted' na mchezo huu zaidi ya miaka 5 na sasa kaacha kabisa na anatarajiwa kuolewa hivi karibuni na mchumba anafahamu tatizo na amekuwa msaada mkubwa kwake kwa kumwambia kampenda na yaliyopita hajali na huyu sista kafarijika sana na anakwambia zaidi ya mwaka hajafanya na hataki kusikia tena.Anasema mwanzo ilikuwa ngumu sana yaani mwezi wa kwanza baada ya kuacha lakini akazoea.Yes!She is my friend!Lakini unavyodai aachie ngazi is not that simple,bora ingekua walipokua na wiki na hakukua na kitu chochote kilicho take place!Fikiria ndoa ni few days ahead!

mkuu unajua hapa ni mahali pa heshima sana,usifikiri kwa sababu hujulikani unaleta kila upuuzi hapa,jaribu kufikiria kabda hujainamisha kichwa chako kutuma post hapa,sio fresh na sijapenda hii

mwambie rose amkabithi Bwana Yesu maisha na Tamaa za mwili zitakoma.Unajua kuna mapepo huwa yanasimamia hayo mambo ndio maana wakati mwingine kuchomoka na nguvu zako binafsi inakuwa ngumu.
Naz Rose anafanya biashara ya nguo za spesho na hua anazifuata mwenyewe China,mchumba wake ni mhasibu stanbic bank,huyo mchumba wake namfahamu na huwa napiga nae story mara kwa mara lakini nilikua sijui hili tatizo!

sio kweli hawezi kuacha,mi namfahamu msichana mmoja mwenyeji wa Tanga ambaye alikuwa 'addicted' na mchezo huu zaidi ya miaka 5 na sasa kaacha kabisa na anatarajiwa kuolewa hivi karibuni na mchumba anafahamu tatizo na amekuwa msaada mkubwa kwake kwa kumwambia kampenda na yaliyopita hajali na huyu sista kafarijika sana na anakwambia zaidi ya mwaka hajafanya na hataki kusikia tena.Anasema mwanzo ilikuwa ngumu sana yaani mwezi wa kwanza baada ya kuacha lakini akazoea.

Inawezekana na inataka maamuzi magumu na uelewa na faraja kutoka kwa wanaomzunguka kama wewe na huyo mchumbake.

Kwa nini alisubiri mpaka ndoa itangazwe ndo aombe ushauri, then if it's too late tunajadili nini hapa?

mwambie huyo dem;mdada i mean huyo rose aokoke japo ataendelea kukazwa nyuma lakini kadri atakavyozidi kujiweka karibu na Mungu huo ushetani utaondoka katika nafsi yake {its a long process} na yeye pia ni lazima awe ameweka nia ya kuacha tabia hiyo

Maneno ya kumfariji:kama kuna mashoga (Ambao kiuhalisia wana tundu moja tu hawana alternatives na wameweza kuacha hako ka mchezo ka laana,sembuse yeye mwenye two alternatives)

Kweli kabisa roho ya ulawiti ni mtaji wa shetani..hatarii..roho hii huambukiza(sodoma&gomora alianza m1 then..wengi) sasa sijui huyu mshauri wa Rose(EIYER) ana kingaa? Eiyer kaa mbali kaka, usijejikuta wampa ushauri na huduma pamoja!

Eiyer,jaribu kumshauri huyu Rose aokoke kwani huo ndio utakaokua mwisho wa tatizo lake na hii na roho ya ushetani inamwandama,cha msingi ajikite bize na Mungu hakika tatizo lake litakwisha kabisa kwa kumpokea Yesu kua mwokozi wa maisha yake
Nas asante kwa ushauri,nitaufanyia kazi kwa mhusika![/QUOTE
Pamoja mkuu!!!
Nilimfahamu mwaka 2000,wakati huo wote tulikua waajiriwa wa kampuni moja ya kusafirisha mafuta,kwa sasa ni mfanyabiashara binafsi na ni rafiki yangu,aliniambia tatizo lake kama ifuatavyo;ana mchumba ambae wanapendana sana na wapo kwenye uchumba kwa miezi 8!Mchumba wake ni mtu wa msimamo na anajiamini na anamaanisha anachosema,hawajashiriki tendo la ndoa coz mchumba amesema mpaka watakapofunga harusi!Rose ana miaka 28 na mchumba wake ana miaka 35,tatizo linalomsumbua Rose ni kuwa katika mahusiano yake ya nyuma alikua anafanya mapenzi kinyume na maumbile mpaka amekua "addicted"!Kwa muda wa miezi yote 8 ya uchumba amekua akiwanunua vijana ili wampatie huduma hiyo!Kitendo hicho kinamuumiza sana kwani hapendi kumsaliti mchumba wake kwani mchumba wake amekua akionesha dalili zote za uaminifu!Mahari ameshatoa,vikao vya harusi vinaendelea na pia nyumba yao wanayojenga pamoja iko kwenye lenta!Tatizo lingine kubwa ni mchumba wake amekua akisema namna anavyochukia tabia ya watu wanaojamiiana kinyume na maumbile na hawapendi sana watu hao bila kujali jinsia zao!Rose hana raha,amechanganyikiwa,anampenda mchumba but kuacha tabia hiyo ameshindwa,kumwambia ukweli anaogopa kuachwa!Tafadhali msaidie mawazo!