mshauri aachane na hayo mambo kutokana na situation yake kuliko kumwambia kuokoka pekee ndio njia mwafaka kv kuna wengine ingawaje wanafanya mambo machafu bado wapo firm na imani HAKUNA dini inayoruhusu ulawiti hivyo anawezakumrejea huyo mungu wake anayemuamini sasa na bado akaacha bila kuokoka! By the way, hakuna dini au dhehebu hata moja duniani lililofanikiwa kuondokana na uchafu wa shetani, kinachotusaidia ni kwamba baadhi dini zetu hazijali hata zikiona tunafanya ushetani hadharani na wengine wanaziheshimu dini zao kufanya uchafu hadharani na hivyo kuamua kufanya gizani.