Tafadhali sana, aomba msaada wa dharura!

Poleni sana...

Uwe una massage miguu mara kwa mara... Awe anazingatia level yake ya kisukari kisipande sana... Mazoezi ya kuogolea nayo yanasaidia... Asiwe ana tembea peku kabisa... Vitamin B medication nayo husaidia...


Cc: mahondaw

Nashukuru sana kwa ushauri
 
mkuu jitie moyo...ni ya muda tu kisha mpenzi wako atakuwa fyn...ni vyema pia kufanya dua ili mnyezi mungu amponye...
 
Poleni sana...

Uwe una massage miguu mara kwa mara... Awe anazingatia level yake ya kisukari kisipande sana... Mazoezi ya kuogolea nayo yanasaidia... Asiwe ana tembea peku kabisa... Vitamin B medication nayo husaidia...


Cc: mahondaw
Shukrani sana kwa ushauri Smart911 love
Ulipo nipo
 
Kisukari kinaweza kusababisha kitu kinaitwa neuropathy..kama sijakosea...na mojawapo ya dalili zake ni hizo ulizozitaja...anaweza kutumia multvitamin Mara tatu kwa siku na dawa inayoitwa pregabalin...atumie kidonge kimoja kwa siku...Mimi nimeshaona mtu anatumia vikamsaidia...ila kikubwa fika kwa daktari umweleze anaweza kukupa msaada mzuri zaidi.
 
Kisukari kinatengenezwa kondoa.
Wachache mtanielewa.
 
Pole sana Mkuu Manyerere. Mungu amponye Shemeji.
 
maendeleo ya mgonjwa yakoje? Tunaweza kutoa mawazo kama bado anataabika
 
vipi hali ya mgonjwa? kama bado tunaweza kusaidiana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…