Mr Lukwaro JF-Expert Member Joined Jun 3, 2023 Posts 359 Reaction score 629 Mar 12, 2024 #1 Kauli ya mashabiki wa Yanga ikiwaelekea SINGIDA BIG STARS ikisema " Tafadhali Singida msuruhusu goli 5 kwenye Mechi ya leo" Niwazi kuwa Mashabiki wa Yanga wanataka ushindi wao wa Goli 5 uzidi kuchukua Headlines. "Mashabiki wasimba wanasema " Hii mechi ya leo ni salamu kwa Al A....." Matambo ya ligi ya ndani NBC, kwa sasa imeamia kwenye Draw ya CAF. Hivi kati ya Yanga na Simba nani mwenye possibility ya kuvuka kwenda Nusu fainali?! Wamakonde wanasema , ukiamka Nchale, Ukilala Nchale...😂
Kauli ya mashabiki wa Yanga ikiwaelekea SINGIDA BIG STARS ikisema " Tafadhali Singida msuruhusu goli 5 kwenye Mechi ya leo" Niwazi kuwa Mashabiki wa Yanga wanataka ushindi wao wa Goli 5 uzidi kuchukua Headlines. "Mashabiki wasimba wanasema " Hii mechi ya leo ni salamu kwa Al A....." Matambo ya ligi ya ndani NBC, kwa sasa imeamia kwenye Draw ya CAF. Hivi kati ya Yanga na Simba nani mwenye possibility ya kuvuka kwenda Nusu fainali?! Wamakonde wanasema , ukiamka Nchale, Ukilala Nchale...😂
redio JF-Expert Member Joined Aug 27, 2016 Posts 5,813 Reaction score 12,921 Mar 12, 2024 #2 Hii Simba ni mbovu zaidi ya neno lenyewe mbovu. Kiungo Cha ulinzi shida, beki za kati shida mbele tiamajitiamaji. Mashabiki mna kazi kubwa ya kutetea timu yenu.
Hii Simba ni mbovu zaidi ya neno lenyewe mbovu. Kiungo Cha ulinzi shida, beki za kati shida mbele tiamajitiamaji. Mashabiki mna kazi kubwa ya kutetea timu yenu.
Its Pancho JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 15,966 Reaction score 26,404 Mar 12, 2024 #3 Haya mmeshinda ngapi?
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 24,606 Reaction score 39,289 Mar 12, 2024 #4 Hawajaruhusu