Tafadhali Soma Hapa

Zeddicus

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2012
Posts
627
Reaction score
535
Kuna wanajamvi ambao wanatoa mada mbovu zisizo na kichwa wala miguu..dawa yao Great thinkers msichangie kwani mkichangia mnazidi kuwapa vichwa na kwa hilo wanazidi kupoteza hadhi ya Jukwaa hili Adhimu la Elimu.
 
Asante. Nasi pia tunachuja post za kuhangaka nazo!! Watapost wakichoka wanasepa!!
 
Asante. Nasi pia tunachuja post za kuhangaka nazo!! Watapost wakichoka wanasepa!!

Ndio hivyo..akiona kapost pumba halafu hakuna aliyechangia sure He/she will give up.
 
Huu ni umbea,ndio kuna thread hazna maana lakini hata zile zenye maana watu weng hawachangii kisa labda mtu ni mgen,acheni matabaka na dharau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…