Tafadhali soma hapa!!!

ngoogle

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2012
Posts
209
Reaction score
56
Habari wana jamvi,
samahani sana, mwenye taarifa ya tarehe ya mtihani wa kidato cha pili (NECTA) 2013 anijuze
nawasilisha.

Asanteni
 
Itaanza tareh 7/10/2013

Thnx mkuu, ila wataanza na somo gn?
 
Habari wana jamvi,
samahani sana, mwenye taarifa ya tarehe ya mtihani wa kidato cha pili (NECTA) 2013 anijuze
nawasilisha.

Asanteni

Nafikiri ulitaka kusema Kidato cha IV. au sio?
 
:llama😀ogo Mtihani wa Kidato cha Pili hautolewi wala kusimamiwa na NECTA, ni Mtihani wa Kanda za ukaguzi chini ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi. Tofautisha kati ya Gongo na Konyagi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…