Tafadhali soma hapa"`

Joined
Apr 4, 2014
Posts
55
Reaction score
6
Ninaomba mnipe details kuhusu skul hizi kwa kusoma a level"
[lugoba,bagamoyo,minaki,benjamini na mzumbe] kama unafaham chochote kati ya hzo skul naomba nijuze
 
Bagamoyo utamkuta mwalimu anaitwa KITUNGWA......!!!!
 
ninaomba mnipe details kuhusu skul hizi kwa kusoma a level"
[lugoba,bagamoyo,minaki,benjamini na mzumbe] kama unafaham chochote kati ya hzo skul naomba nijuze

hapo shule nzuri ni mzumbe.kigezo cha kawaida div 1 ya maana.two marachache matokeo yakiwa mabaya..shule ni mbaya kimajengo na mabweni kama hujazoea unaweza rudi.kitabu cha ukweli yaanii kama umetumwa na kijiji.eneo lipo kilometre 26 toka morogoro mjini.na ukichaguliwa hapa hongera.
 
Ninaomba mnipe details kuhusu skul hizi kwa kusoma a level"
[lugoba,bagamoyo,minaki,benjamini na mzumbe] kama unafaham chochote kati ya hzo skul naomba nijuze

nimesikia Mzumbe mazingira sio mazuri nowadays hadi mkuu wa shule ameomba katika bajeti inayokuja, maboresho ya shule hii yafikiriwe. mazingira nayo yanachangia kuvuruga au kuboresha usomaji wako, mpaka mtu anapata DIV. 1 form six, haijaja bure tu. ni bora uangalie shule kama itakufaa kabla ya kujiunga nayo, sio unaenda tu kisa jina la shule ni kubwa.
 
Hzo skul tano ni skul nilizojaza kwa hyo nasubir moja kati ya hizo if god wixes
 
mzumbe inabd uwe na A_3/4 kwa sayansi ila me HGL nina B flat kama mungu akipenda naweza chagulwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…