hii kitu sijui nani alivumbuaga, ingekuwa haipo sijui ingekuwajeView attachment 632511 Tuko pamoja naunga mkono hojaa 100/100
Kwa hiyo ndo umetuacha kiainaMwezi wa nne na nusu huu sijagusa hata white wine.
Na nyumbani kuna Heineken na Corona zimejaa katika friji, kabatini kuna mizinga ya Dwar's, Tequila, Vodka na Scotch Whiskies nyingine ambazo nimekuwa na nguvu kuzichunia tu.
Kwa sababu niliamuatu kuacha. Na mpaka sasanimesimamia uamuzi huo.
Mgeni anayehusikana mambo hayo akija atakarimiwa tu.
anzisha nyumba ya ibada mkuuMwezi wa nne na nusu huu sijagusa hata white wine.
Na nyumbani kuna Heineken na Corona zimejaa katika friji, kabatini kuna mizinga ya Dwar's, Tequila, Vodka na Scotch Whiskies nyingine ambazo nimekuwa na nguvu kuzichunia tu.
Kwa sababu niliamuatu kuacha. Na mpaka sasanimesimamia uamuzi huo.
Mgeni anayehusikana mambo hayo akija atakarimiwa tu.
Imeandikwa mwiliwakoni hekalula Mungu.anzisha nyumba ya ibada mkuu
Wacha nipumzishe maini.Kwa hiyo ndo umetuacha kiaina
Hongera lakini