tafadhali ufahamu kidogo hapa

Ms mashaba

Member
Joined
Dec 28, 2011
Posts
43
Reaction score
4
kuna mashirika ya umma kama tanapa, tra n.k. je mashirika haya wanaajiri watu baada ya muda gani?. TRA walimfanyia oral interview rafiki yangu mwezi mmoja umepita hakuna feedback yeyote. TANAPA kazi za mwezi wa kwanza leo ndo wanaita watu kwenye written interview. je kuna kazi hapo au ndo...............
 

Mpaka wapate wapate kibali cha kuajili kutoka serikali kuu, na ukumbuke kuwa serikali kuu ina mambo mengi ya kufanya. Muda wa kutoka kibali inategemea na uharaka wa uhitaji wa mfanyakazi husika.
Na wakati mwengine ushapu wa mkuu wa idara inayohitaji mfanyakazi husika. Mfano hapa nlipo mie, nakumbuka niliomba kazi, nlisubiri hadi nikasahau kuwa kuna sehemu nmeomba kazi. Mara ghafla nkaletewa taarifa kuwa naitwa ktk usahili.

Tofauti na kampuni binafsi, wao unaweza omba kazi leo, kesho usahili na keshokutwa unaanza kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…