Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Jamaa ni kama wametumwa kutoka kuzimu kuondoa amani ya watu duniani.
Ni kama mashetani, nahisi hata zilipo ofisi zao ni sehemu ya kificho.
Wanajua kukera mno.
Hawaelewi chochote zaidi ya fedha.
Wafanyakazi malipo yao yako kulingana na jinsi wanavyokusanya, hivyo wako tayari kwa lolote ili tu wapate pesa.
Wamiliki wa hizi kampuni bila shaka ni maajenti wa Mzee Lucifer, ukiingia kwenye mkopo lazima changamoto za kiuchumi zikuambate ili uendelee kuwa mtumwa wao.