Tafadhali Wakatoli wa Ibada ya Kwanza tuliowahi Makanisani ili Kuusikiliza na Kuutii Waraka wa TEC tutambuane tafadhali

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
GENTAMYCINE tayari nimeshawahi na nimekaa zangu Siti za mbele mbele kabisa nikitanguliwa na Kwaya yetu nzuri yenye Nyimbo za Kukufanya uwe karibu zaidi na Mwenyezi Mungu na akupunguzie Dhambi zako japo hatozifuta zote ili Akakuadabishe vyema Mbinguni Siku ya Hukumu.

Leo Makanisani ( kwa wenye Akili tupu ) Wakatoliki ni mwendo wa Kusikiliza Waraka wa TEC na kama Mkatoliki ( bila kujali uko CCM, CHADEMA, ACT na CUF ) huna budi Kukubaliana nao kwani Mungu Kwanza na Pesa za Kuhongwa ili Kuiuza nchi na Rasilimali zake za Mwarabu Koko baadae.

TEC wakisema ukipinga hauna Akili.
 
Umeabudu wapi leo we Msomi wa Kiabakari 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom