tafadhali wale tuliochguliwa kwenda sua tukutane!

tafadhali wale tuliochguliwa kwenda sua tukutane!

makferoo

Member
Joined
Aug 22, 2012
Posts
7
Reaction score
2
jamani mbona mie nimekua admitted hapo sua lakini jina langu halionekani kwenye website ya sua,au tcu ilikua danganya toto?tafadhali wale wanaojua lolote tutoane wasiwasi
 
Kuna wenzako wengi wenye tatizo kama lako na waliomba msaada direct to tcu wakaambiwa majina yatakua updated vyuoni wakisha publish majina yote officially kwahiyo usiwe na wasiwasi
 
Kuna wenzako wengi wenye tatizo kama lako na waliomba msaada direct to tcu wakaambiwa majina yatakua updated vyuoni wakisha publish majina yote officially kwahiyo usiwe na wasiwasi
poa kaka nashukuru sana maana nilikua na wasiwasi!
 
Back
Top Bottom