jamani mbona mie nimekua admitted hapo sua lakini jina langu halionekani kwenye website ya sua,au tcu ilikua danganya toto?tafadhali wale wanaojua lolote tutoane wasiwasi
Kuna wenzako wengi wenye tatizo kama lako na waliomba msaada direct to tcu wakaambiwa majina yatakua updated vyuoni wakisha publish majina yote officially kwahiyo usiwe na wasiwasi