Tafadhali zingatia vigezo hivi unapoanzisha mada ya kutafuta Mke/Mume

Mizaha imezidi sana kwenye hii. Watu wengi ni wababaishaji! Ingekuwa vyema kama kungekuwa na utenganisho kuzingatia umri wa mwombaji au mtafutaji. Mods tunaomba jukwaa la watu wazima ' Umri iwe kigezo' Kuna wajane wagane oops sijui kama kuna kitu wagane(mwanaume aliyepoteza mke anaitwaje) Wengi wanakuwa stigmatized kwa Kufiwa. Nawaza tu!
 
 
Ninashwari,wanawake hupenda kuwajua sana waume au wapenzi .je dhumuni lao ni jema kama tunavyodhani? Kama ndio kwa nini? Na kama sio pia ni kwanini?
 
naitwa Diana niLitafuta mchumba lakini sijampata awe mpole mkristo anicaII0629837251
 

asante kwa ushauri wako ..mfano mzuri wasome ombi la kaka mindpower alijielezea vyema kwa kweli ...mim nangojea mrejesho kutoka kwake amefanikiwa kumpata aliyekluwa namuhitaji?...wanaitafuta wanaweza pitia kwenye thread yake kama mwongozo....
 
safi sana[emoji122]

Sent from my TECNO F5 using JamiiForums mobile app
 
Wengine mpaka leo awajapata

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…