tafadhali

tafadhali

Principessa

Member
Joined
Mar 5, 2009
Posts
47
Reaction score
5
tafadhali naomba mwenye software ya CPA R.E 2002.maana nimeshafuatilia pale kwenye duka naambiwa hamna sijui mpaka uweke order kabisa,nimeshaweka order na namba ya simu, nimefuatilia mpaka basi...naomba mwenye nayo,nina ile ya zamani tu.

asante!!!!!!
 
Back
Top Bottom