Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Simba imeadhibiwa kwa sababu yetu sisi mashabiki, sio kosa la uongozi wala nn, japokuwa tunaamini kuwa Caf wametuonea lkn hakuna namna tena, lazima tulipe dola efu 40,000.
Ndugu yangu shabiki Mwenzangu wa Simba Sports Club, kama kweli wewe ni mwanachama au shabiki halafu viongozi wetu wanatuomba tuwajibike kwa pamoja kulipa deni hilo halafu wewe unakaza, nakuomba usifanye hivyo.
Hiyo milioni 90 mashabiki laki moja wakichangia she efu moja moja tu tayari milioni 100 mfukoni.
Simba ni yetu tunafurahi pamoja na tunawajibika pamoja.
Tusiutwishe mzigo mkubwa uongozi wetu wakati uwezo wa kuchangia tunao, narudia hiyo efu 5 tuliyopanga kwenda kuangalia gemu j2 tukaichangie klabu yetu.
Niko chini ya miguu yenu