Tafadhalini mashabiki wenzangu wa Simba efu Moja Moja kwa mashabiki laki moja tunamaliza Deni la milioni 90 na chenji inabaki

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Simba imeadhibiwa kwa sababu yetu sisi mashabiki, sio kosa la uongozi wala nn, japokuwa tunaamini kuwa Caf wametuonea lkn hakuna namna tena, lazima tulipe dola efu 40,000.

Ndugu yangu shabiki Mwenzangu wa Simba Sports Club, kama kweli wewe ni mwanachama au shabiki halafu viongozi wetu wanatuomba tuwajibike kwa pamoja kulipa deni hilo halafu wewe unakaza, nakuomba usifanye hivyo.

Hiyo milioni 90 mashabiki laki moja wakichangia she efu moja moja tu tayari milioni 100 mfukoni.

Simba ni yetu tunafurahi pamoja na tunawajibika pamoja.

Tusiutwishe mzigo mkubwa uongozi wetu wakati uwezo wa kuchangia tunao, narudia hiyo efu 5 tuliyopanga kwenda kuangalia gemu j2 tukaichangie klabu yetu.

Niko chini ya miguu yenu
 
Nashauri tuzidishe makusanyo zaidi ya deni tuweke kama akiba ili siku nyingine akija mpuuzi mwingine tunamkalisha halafu tunatuma pesa CAF au TFF kabla hata ya hukumu, mamaeee.
 
Halafu baadae utasikia Mo atuachie timu yetu wakati buku tu la faini linawatoa jasho.
 
WEKA namba chap
 
MATAHIRA
MAPUMBAFU
MA JUHA
MBUMBUMBU MZUNGU WA RELI.

HAWA NDIO WACHANGIAJI WAKUBWA.
KUCHANGIA WAGONJWA.
KUCHANGIA YATIMA.
KANISANI
MISIKITINI
HAYAWEZI KAZI KUISAIDIA SIMBA NA YANGA.

LAANA
We jamaa Simba sijui ilikufanyia nini..ifike wakati kubali tu kile kilichotokea..haupambani na mtu unapambana na Taasisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…