mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
nipe majibu tu venn diagram nitachora mwenyewe ukianza na xnimelipata jibu ila kuweka soln yake hapa nimeshindwa 7bu natumia cmu
bado nakusubiri mkubwa!nipo busy kidogo, ngoja badae badae.
nipe majibu tu venn diagram nitachora mwenyewe ukianza na x
bado nakusubiri mkubwa!
Ni kweli tatizo liko hapo mfano ukipata jibu la student who took public finance ni watatu nusu yake watakuwa mmoja na nusu jambo ambalo haliwezekani ndio maana nilileta swali huku nikiamini kuna wataalamu watanisaidia.Swali lako ni rahisi kulitafutia jawabu ila kuna tungo tata (The number of those who took Economic Development only is half the number of students who took Public Finance only) inabidi uiangalie vizuri hasa kwa kulenga kuwa idadi kuu (population) ni 48. Thanks!!!
Hapo kwenye x lazima uweke number ambayo inawakilisha idadi ya wanafunzi waliochukua masomo yote matatu na sio x kama unavyodhani.Watu wengine bwana wavivu sana kutumia vichwa, kusoma hujui hata picha nayo patupu??
x hiyo hapo umepewa kwamba ni number of students who took all three types of subjects. Ugumu uko wapi hapo sasa?? Pigia mstari hilo jibu nililokupa.
best nasubiri jibu tafadhaliNgoja nitafute setup ya PSPP au SPSS nishushe hapa uone!!!.Ila net iko slow ningekupa jibu faster!!
Ni kweli tatizo liko hapo mfano ukipata jibu la student who took public finance ni watatu nusu yake watakuwa mmoja na nusu jambo ambalo haliwezekani ndio maana nilileta swali huku nikiamini kuna wataalamu watanisaidia.
48 students in an economics class selected three subjects , ie Economics Development, Public Finance and Mathematics. Of these 35 students took Economic Development, 8 took Public Finance and 5 took both Economic Development and Public Finance .Of all those who took Mathematics also took Economic Development.The number of those who took Economic Development only is half the number of students who took Public Finance only.Given that x is the number of students who took all three types o subjects.
required: Draw venn diagram to show the above fact and hence find x.