Tafadhalini Zambia na Congo DR hebu tufungeni upesi ili Ligi Kuu yetu iendelee

Cognizant

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2022
Posts
626
Reaction score
1,409
nimeimisi mno ligi kuu yetu na hasa jinsi waamuzi wanavyopokea milungula ya timu kubwa na kwa sasa moja yenye utajiri wa mdhamini mkwepa kodi mzoefu ili waibebe katika matokeo na maamuzi

Na tafadhali akina musonda, chama, Inonga na Mayele na Zambia pamoja na Congo DR zenu hebu tutoeni upesi taifa stars / Tanzania mashindanoni afcon ili ligi kuu yetu yenye ubora wa kipuuzi barani afrika iweze kuendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…