Na ndio haswaaaa nia na madhumuni ya hiyo FGM! Hufanywa hivyo ili kumfanya mwanamke asiwe na hamu ya kufanya mapenzi.. Si kwamba huwa hawana hamu kabisa ila ni kwamba mwanaume inabidi afanye kazi ya ziada ili kumfikisha mwanamke wa aina hii.. Hii FGM ni kuwakosesha wanawake haki zao za kufurahia tendo la ndoa.