Tafadhari ,Nipe Uzoefu Au Maoni Yako!!

Majigo

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
5,519
Reaction score
1,828
Nikiwa Kama Kijana Ninayejiandaa Na Maisha Ktk Ujasiriamali,Mtaji Wangu Ni Laki Mbili.
Kwa Pesa Hzo Niko Njia Panda,Kipi Chenye Soko Kubwa Kati Ya:
-Ninafikiria Kununua Digital Kamera Ili Niwe Mpiga Picha Mitaani
-Nifungue Banda La Kuonesha Mpira(video Ninavyo)
Tafadhari Wakuu..Ushauri Wako Tu,Ni Mkombozi Tosha kwangu(niko DAR),Nawasilisha Kwa Kutanguliza Shukrani na Salam !
 
Bora ya kuonyesha mpr bt cku ambazo c za msmu wa mpr utakula nn?
 
Dah!Ndo Hapo Mkuu!
Nayo Inahitaji Kujipanga nilifikiria Pia Niwe Naonesha Cd Za Movies,iwapo Hakuta Kuwepo Mpira!
Asante Kwa Maoni Yako!
Tungoje Wadau Wengne Labda Nao Wana Cha Zaidi!
 
chunguza mtaani kwako km hauna magenge yazidiyo matatu, fungua genge uswaz litarudsha mtaj na utaweza hata fungua VIDEO SHOW..
kingne km unaushujaa wa kupoin vinguo flan vya wadada vikali afu watoke ktk vyuo na hostel zao..inatoka km ujuavyo wadada ..muhim chungza kip wanavaa sana sku izi
 
fanya research kwanza, je eneo ulilopo au maeneo uliyopo kipi kina wateja wengi?
 

Asante Mkuu,Ushauri Wako Umenipa Mwanga Zaid,kweli Kikubwa Ni Ubunifu!
 
Shukran Kwa Wote Mlio Nishaur Na Mnaoendelea Kunishauri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…